Fainali ya Uefa Kuchezwa Leo Jijini Madrid Ikiwakutanisha Liverpool na Tottenham.

            FAINALI YA KOMBE LA MABINGWA ULAYA KUCHEZA SAA NNE USIKU WA LEO JUMAMOSI



   
       Leo ni fainali ya aina yake ikizikutanisha timu zote kutoka uingereza liverpool na totenham na pia cha kusisimua zaidi wachezaji wawili Divock Origi wa Liverpool na Wanyama Victor wa Tottenham wote wakiiwakilisha Kenya kama nchi mama ya kuzaliwa. 
  
    Mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi na mwenzake wa Tottenham Victor wanyama wamewekwa katika midomo ya Wakenya wengi wakati ambapo timu zao zitachuana katika 
 kinyang'anyiro cha kombe la mabingwa mjini Madrid. 























added by tunchi montana
Fainali ya Uefa Kuchezwa Leo Jijini Madrid Ikiwakutanisha Liverpool na Tottenham. Fainali ya Uefa Kuchezwa Leo Jijini Madrid Ikiwakutanisha Liverpool na Tottenham. Reviewed by Tunchi Montana on June 01, 2019 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.